Inflatable Baby Bathtub – Safe & Comfortable Bath Time
149000 Sh 99000 Sh
Bathtub hii ya mtoto inayovimba imeundwa kwa usalama na faraja wakati wa kuoga mtoto.

Ina kiti cha ndani kinachomsaidia mtoto kukaa vizuri na kupunguza hatari ya kuteleza wakati wa kuoga.



Imetengenezwa kwa material laini na salama, pia ni rahisi kukunja na kubeba popote kwa matumizi ya nyumbani au safari.

















